cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Tumejipataaa haswaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aunt Leo tumejipata [emoji3]
Ankoli wako alitaka kunipora cm kisa nimevurugwa napigia wana utopolo na kuwatukana, nkamjibu kwa kifupi.
"Kati ya wee na simba nani alimkuta mwenzake kwangu?, nijie kwa password wee ba tamu" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapoaa huyo akat nae ni shabiki wa Simba, huo ustaarabu akiweza yeye inatosha mie aniachee leo kazi yangu kuponya wagonjwa wanaoteseka..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]