reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Pole sanaSanamu la chama liwekwe viunga vya msimbazi..
Japo nimeshangilia mpira wa timu yetu Simba nikiwa kitandani nauguza jeraha la kuvunjika mguu wa kushoto
Ila siku ya Leo imekua nzuri na furaha sanaa Kuna muda nilijikuta nataka kunyanyua mguu wenye HOGO
ALL IN ALL,
Simba Guvu Moja [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Mungu akuafu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app