ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Muda kama huu Ali kamwe ' Alisha pass out'.
Sijawahi kua na furahaWw ukiwa na furaha huwa unakigawa?
Mtepeto Fc wanewalainishiaaa njiaaa 😕😕😕😕Siyo mara ya kwanza. Kaa angalia pira kisasi.
NAKAZIAWale waliojiona wamempiga mtu nyingii..ilikua ni muda tuu mnyama awaoneshe kimbunga
Tulizanaaaa shouzzzzz, huu mchezo hauhitaji hasiraaaa.Still mmepata vibondeeee