ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Ladha ya mpira imepotea
Aaha simba mna sifa nyie, huku mtaani ni kelele hatusikilizaniπ
Hatuwezi acha furahia, ila mizigo km hiyo ipo siku itatutoa machozi.Na,ww familia tulia leo ni shangwe...
Wewe ndo ukumbukeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutakoma Simba mnaongea nyie ila hongereni mmevuka zile 5G tulizowapiga unakumbuka?[emoji3][emoji3]
Woteeeee wale wachawiHapa tumewafunga washamba fc, wydad fc jwaneng wenyewe.
Tulia tuu kwa leo hiki kipigo kinaponya matatizo yote familia...Hatuwezi acha furahia, ila mizigo km hiyo ipo siku itatutoa machozi.
Hapo kwenye cash sasa.πππ
kama cash ipo naanza sahii, 'huna baya tajiri, dhambi zako tupewe sisi wanayanga'..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaniiii yaniii kuna watu roho zitawatoka leo...na nguvu za kiume leo hawana....sijui watawambia nini wake zao..