ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
leo nimeamini uchawi upo maiti kamkaba muoshaji
Hahahaha Namba 5 imevuka imekuwa namba 5..Kwa Matokeo haya,Simba inakuwa ya ngapi kwa Ubora Afrika..?
Balaaaa ww ngoja inarekodi za kutosha sana mpk sasaKwa Matokeo haya,Simba inakuwa ya ngapi kwa Ubora Afrika..?
Nipo dada yanguHelooo upoo rafiki wa mnyamaa
Umeona eeeeeh yaaan vibee iliishia gori la 4 kuleee...hata vibe hamna, naona kimya kumbe magoli yameendelea
black magic, kocha wao alilalamika sanaLoooooo kumbe wachawiiii..hata wydad walisema hilo
Ya 5Kwa Matokeo haya,Simba inakuwa ya ngapi kwa Ubora Afrika..?
Itakuwa kazimia 😁🤣😂Naombaaa nileteee hapa huyo mtu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yaan namuhitajiii harakaa sanaa.
Yaani watu MNA Raha hamkumbuki hata kapu la Mama. RIP Mzee Mwinyi.Kwa Matokeo haya,Simba inakuwa ya ngapi kwa Ubora Afrika..?
Kama ya Horoya 🤣Hii mechi ichunguzwe. Kuna harufu ya upangaji matokeo.
Hii mechi ichunguzwe. Kuna harufu ya upangaji matokeo.
Acha kunywa kimpumu mr pipaHamna mpira hapa naiona lede aka ball girl mpira wa wananawake na watoto
Galaxy angekubali Tsh ngapi aache fedha za robo? Alikuwa na nafasi.Hii mechi ichunguzwe. Kuna harufu ya upangaji matokeo.
Hii ni simba sio CCMHii mechi ichunguzwe. Kuna harufu ya upangaji matokeo.