FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Hao jamaa wataenda kusimulia hii pumzi ya moto, sijui Raja walitufungaje!!!
 
Fix sana we jamaa.. leo mtapigwa kipigo cha mbwa koko,kipigo ambacho chozi lake litawatokea ulimini! Kipigo Chenye pigo lisiloisha ukali wake!
Njoo kwenye comment yako Mkuu
 
Simbaaa rahaaaaaaa jamaniiiii
Leo ni kunywa tuu ka wine na tunyama twa kukaaanga
 
Simba Leo Wana cheza mpira sio utani.
Leo nimeikubali timu yangu ya Simba kweli wanacheza kama inavyo takiwa.

Wanacho takiwa kufanya kipindi Cha pili ni kucheza kwa nguvu na bidii kama walivyo cheza kipindi Cha kwanza, kamwe wasijaribu kulinda bao 3 kwa kurwlax na kupoteza muda, watalia.
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Simba Leo Wana cheza mpira sio utani.
Leo nimeikubali timu yangu ya Simba kweli wanacheza kama inavyo takiwa.

Wanacho takiwa kufanya kipindi Cha pili ni kucheza kwa nguvu na bidii kama walivyo cheza kipindi Cha kwanza, kamwe wasijaribu kulinda bao 3 kwa kurwlax na kupoteza muda, watalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…