FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Ni kweli, ila hatuna haja ya kufikiria hizo hela maana tukiingia tu robo fainali tuna zaidi ya 1.4B. Hizo tuwaachie Yanga wapige nazo picha
Ni kweli. Hizo pesa zingeenda kujenga madarasa ingekuwa bora zaidi
 
Nilikuwa nakufuatilia kimya kimya naona namna gani uko na furaha, hiyo furaha nilikuwa nina kazi nayo baadaye..!!

Ahsante...!!
Kwa ushindi huu, bila shaka utakipata unachohitaji PP wangu.[emoji4]
 
Kama nyinyi mmeweza kuwafunga 3 kipindi Cha kwanza kwann na wao washindwe kuwafunga 4 kipindi Cha pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…