Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Nyie nyie jmn simba rahaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msilewe magoli raja alikupiga 3 hapo hapo kwakoHata Raja wakakaeeeeeeeeeee sio kwa hiii Simbaaaaaaa
aaah bhanaaaaa Taya zinauma chuma kingine nazani simba wanalipiza kisasi cha kifo cha Bob jrSubiri kidogoo
WaleteeeeeeeeeeeNasisitiza bado mbili...
Sijayaona vizuri mkuuMagoli ya Simba matamu[emoji1787][emoji1787]
Waingize kipa namba tatu kama yupo ili wasichekaneKipa wa kwanza kala 3 na huyu kala 3 au tuwaazime beno awasaidie [emoji3][emoji3]
Huyu kipa wa sub atafungwa manne😎😎Kipa wa kwanza goli -3
Kipa wa pili goli -3
Game on
Kuna watu wanasema ni timu ndogoMjue tunamfunga Horoya???? Horoya???? Horoya??? One of the best team in Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app