Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Phiri huwa anajitahidi kiasi chake.Simba inahitaji forwad mwenye akili nyingi ili aweze kujua kucheza mipira ya Chama.
Hawa wengine wanauwezo mdogo sana kucheza na chama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Phiri huwa anajitahidi kiasi chake.Simba inahitaji forwad mwenye akili nyingi ili aweze kujua kucheza mipira ya Chama.
Hawa wengine wanauwezo mdogo sana kucheza na chama.
Chama ana akili sana lakini Hawa wapuuzi wawili akina Kibu wameleta Ufala kabisaa. Yanakimbia tu bila plan. Mmmmmmae
Saido anaonyesha ubinafsi...Chama bora arudi namba 10,Saido acheze 11.
Sisi leo kazi yetu iko mikononi mwetu, hao waganda tunawashukuru kwa pointi walizotuzawadia.Kule St. Marys Kitende
18' Vipers 0-1 Raja
Kibu na baleke wanatakiwa wasumbue sana pale mbeleKifanyike kitu kiwanyima utulivu Horoya wasiwe wanafika mara kwa mara golini kwetu
Ukitaka Kibu na Baleke wacheze Chama arudi namba 10,Saido mbinafsi sana.Kibu na baleke wanatakiwa wasumbue sana pale mbele
tusubiriWewe wasema
Ndiyo Ukweli, Maadui Ni Wengi SanaNiombee sana kuna maadui pia wanafanya juhudi mnyama ashindwe