FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Simba wawe makini kwenye mipira hii ya kupigwa pembeni, Dube huwa anafunga kwa style hii

Nguvu Moja [emoji881]
 
Saidoo nae huwa ni lazima akae na mpira mpaka nafasi zote zifungwe ndo ajue kutoa pasi.

Moja kati ya machezaji mbinafsi sana hapo mbele na amekua akiua moves nyingi sana.
 
Back
Top Bottom