FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Baada ya kufungwa bao 1 kule kwao

"Ooh wale Horoya wako vizuri kwa mipira ya kutenga hususani kwenye kona Kwasababu ya vimo vyao"

Leo wanapiga kona ya sabini lakini hata on target hakuna

Sijajua leo wamechezesha ma dwarf au niaje?
 
Acha kuchanganyikiwa bana, yaani hao Horoya wamekuwehusha hivi? Yanga kafata nini hapo?
Mmepata wa kuwaonea mnatanuka mbavu...
7A65DE9B-8C4B-48CE-8918-DFF21F5ED863.jpeg
 
Back
Top Bottom