Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hayakuhusushangilieni sana ila safari yenu fupi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayakuhusushangilieni sana ila safari yenu fupi
Muhimu utabiri ushindi tu kwa mnyama...Naomba mnisamehe nikikosea kutabiri na siwezi kuanza upya
Huyo dogo machachari Sanaa.Huyu Sakho anaingia na kula njano
Huyo dogo machachari Sanaa.Huyu Sakho anaingia na kula njano
Solo liete un poco 😂No quiero a nadie hoy dia triste 😔😔😔😔😔
Mnhh..De Bruyne mtupuView attachment 2556851
KanouteGoli la nne kafunga nani nilikua nje...
Na msg nyingi mnooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wasameheni, hawakujua kama mlibadili yule kigagula wenu, wa kinyumenyume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AminaaaaaMuhimu utabiri ushindi tu kwa mnyama...
Mnyama Mkubwa Mwituni asiyefugika, Simba Sports Club anashuka dimbani leo kuikabili Horoya AC katika mchezo muhimu wa kundi C.
Simba itaingia uwanjani ikiwa na alama 6 huku Horoya wakiwa na alama 4. Ushindi wa aina yoyote utawafanya Simba wafuzu robo fainali.
Leo ni ama afe kipa au afe beki, ushindi ni lazima kwa Mnyama, na kwa uzoefu wangu, mechi za namna hii Simba akiwa kwa Lupaso huwa tunashinda goli zisizopungua 3.
Shime wana Simba tujitokeze kwa wingi hapo Lupaso ili tukahanikize ushindi wetu mapema, najua friends of Horoya watakuwepo ila hawatosumbua.
Mchezo utakuwa mubashara saa 1:00 usiku na kama kawaida, ZBC 2 ya AzamTv na Variety 4 ya DStv watakuwa live.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Simba Sports Club. 🦁🦁🦁
====
Kikosi cha Simba SC
Timu zinaingia uwanjani
Mchezo unaanza
2' Timu zinasomana mchezo
5' Simba wanaongeza kasi ya mashambulizi
10' Goooooooooo
Chama anafunga goli kwa faulo ya moja kwa moja
15' Simba wanakosa nafasi ya wazi baada ya Kibu Denis kuteleza
20' Horoya wanaonesha kujibu mashambulizi
27' Kidogo kasi ya mchezo imepungua lakini timu zote zinatengeneza mashambulizi
29' Kadi ya njano kwa Kibu Denis
31' Gooooooooo
Baleke anafunga goli la pili
35' Penatiiii kwa Simba baada ya mlinzi wa Horoya kuunawa mpira
Gooooooo
Chama anaipatia Simba goli la tatu kwa penati
45' Zinaongezwa dakika 2
MAPUMZIKO: Simba wanaongeza kwa Magoli 3-0
Kipindi cha pili kinaanza
Horoya wanafanya mabadiliko ya kipa
Gooooooooooo
55' Kanoute anafunga kwa shuti akimalizia pasi ya Chama
Ananikumbusha Thiery Henry yule wa ArsenalBaleke anapiga shuti kali mnoo