zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
walihitaji ushindi vp ikiwa bosi wao kawazingua kuwapa m100 yao baada ya kusema wakipata goli ni m100 wakapata goli kwa raja 2-1 akawageuka kwamba ni hadi washinde jamaa wakawa na mgomo leo wamekuja kamilisha ratiba tuBado wana mechi na vipers ushindi leo walihitaji
hushangai raja na moto wake tena kwake alishinda 2 kwa 1 leo wapigwe 6