FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

no 3 nimesha kwambia horoya hakuja kushindana tayari wana mgomo baridi wa kunyimwa m100 waliyo haidiwa na raisi wao

raja na ubabe wake nyumbani kwake kashinda 2 kwa 1 ww una uwezo gani wa kushinda 7 (ndo nakwambia horoya alikuja kamilisha ratiba tu sio ushindani)
Rubbish
 
wazee horoya ana mgomo baada ya bosi wao kuwageuka kuwapa m100 kila wakipata goli kama alivyo ahidi ko wamekuja kamilisha ratiba kwa tunao fahamu hakuna jipya
Acha roho mbaya, kwenye goli la Simba walikuwa wanatafuta nini kama wana mgomo?, Au hujaona shots za horoya kuelekea lango la Simba?
KIFUPI: horoya walizidiwa au siku haikuwa Yao. Na isitoshe walifanya mazoezi makali kukabiliana na Simba( Kama, walikuwa na nia hiyo wasingefanya mazoezi, hivyo hoja yako haina ukweli wowote).
 
unaelewa mgomo baridi unavyo kuwa

yule kipa ana daka kama anadaka panzi uliona wapi
 
mzee inafahamika horoya hawana cha kupoteza baada ya raisi wao kuwazingua ahadi ya kuwapa fedha zao m100

nashangaa mnacho changilia
Hela ya 100M ni picha ya samaki wala haina msaada kipindi una njaa
 
Back
Top Bottom