FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Hii simba imeniletea kesi huku na shemeji yenu/wifi yenu, tulikubaliana goli atazoshinda simba ndio hizo hizo na mimi nitampatia sasa hizi 7 mlima mrefu
Uwiiiiiiiiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeyakanyaga mkuu,mwambie utampa kwa awamu.
 
Shadeeya is typing nusu saa hamalizi
50 cent.gif
 
Hivi mtani Shadeeya huu uzi umeusoma mpaka mwisho kweli?

Ikiwa umebanana soma tu japo heading ila ujue Chama kashinda 3 Mzuka, Jean Baleke na Putin wana dabali kwani Horoya walikuwa na pancha kibao.

Kwa ufupi Simba wanaidai Ikulu ya Chamwino shilingi milioni 35 tu.
Hahahaaa. Hongera bana Mtani.

Ila mna sifa. Teh teh. Mwishowe Mama ataghairi hizo ahadi Sa. 🤣
 
View attachment 2557245
Horoya hawana shida ya pesa hio milion 100 ni ndogo sana…. Kama waliahidi kila kwa mchezaji milion 11 wakifunga simba.

So point ya kunyimwa milion 100 haina mashiko
umesoma ukaelewa
hii taarifa ni ya mzunguko wa kwanza na walimkanda simba wakachukua dola 5000

mzunguko wa 2 wakaambiwa wakipaga goli ni m100 wakapata, raisi akawageuka hakuwapa ndo mechi hii wamekuja kukamilisha tu

unanambia hawana shida ya pesa vipi, kwamba hizi bonus huwa hawachukui wakishinda
 
Mashabiki Wapumbavu wako wengi sana. Wewe hukosekani kwenye hiyo list
horoya alikuja kamilisha ratiba tu baada ya kunyimwa fedha zao walizo haidiwa ko hakuna cha maana wala timu yako haina uwezo wa ajabu mnao taka tuamini
 
Back
Top Bottom