FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Yanga yapasua timu ya serekali kupitia wizara ya fedha,, ni hv yanga itapeleka dos kwa kila timu inayo lipiawa kodi za wana nchi
 
GB 64 anakwambia yanga wanakula madawa haiwezekani kipindi cha pili wanakua kama ndo wameanza

bora ukubali yanga akupige kipindi cha kwanza atakuwa na huruma ila ukikaza utasakwa sana
 
Ngoja Simba ije iwafundishe jinsi ya kumfunga huyo ndugu yenu kipindi cha kwanza tuu tena goli nyingi..sio mpk mijashooo mkimbizaneee....😅😅😅😅😅
Au labda waombe na wao duwa za kafara za supu tujifunge...😇😇😇
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom