FT: Singida Fountain Gate 1-0 Future FC: Azam Complex Chamazi

FT: Singida Fountain Gate 1-0 Future FC: Azam Complex Chamazi

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Kombe La Shirikisho la CAF mkondo Wa Kwanza.

Singida Big Stars inayojulikana pia kwa jina la Singida Fountain Gate inarusha Karata yake mbele ya Future FC ya Egypt ikiwa Kiwanja chake cha Nyumbani.

Itavuna nini ni Jambo La Kusubiri. Kila la heri SBS.

Mpira unaendelea..
 
Wasipotumia Vizuri home ground SBS watajuta watakapokuwa away..
 
Wachezaji wa Singida nawaona Wanavyocheza Kibu style..!

Wanashambulia na Kurudi Kulinda faster.
 
Back
Top Bottom