FT: Singida Fountain Gate 1-0 Future FC: Azam Complex Chamazi

FT: Singida Fountain Gate 1-0 Future FC: Azam Complex Chamazi

Wamejitahidi kikubwa wazingatie umakini wasiwe wepesi wa kupoteza mipira... Tusubiri marudiano tuone singida watapumuaje...
 
Ahsante hapo singida ana kibarua kule misri
Yes ila atatoboa, kwa sasa hivi vilabu vyetu vipo imara sana. Timu nyingi Afrika zinaogopa kucheza na timu za Tanzania. Hatuna uoga wa kucheza ugenini kama zamani si umeona Yanga na Simba walivyo na uwezo wa kupata matokeo popote pale.
 
Kwa Jinsi ilivyo huku Shirikisho.... Timu za Simba au Yanga kudondokea huku ilikuwa ni Kuzionea timu hasa zilizokuwa zinapambana huku tokea mwanzo..!
 
Yes ila atatoboa, kwa sasa hivi vilabu vyetu vipo imara sana. Timu nyingi Afrika zinaogopa kucheza na timu za Tanzania. Hatuna uoga wa kucheza ugenini kama zamani si umeona Yanga na Simba walivyo na uwezo wa kupata matokeo popote pale.
Singida hawa hawa walioponea chupu chupu kutolewa na JKU ya Zanzibar?
 
Kwa Jinsi ilivyo huku Shirikisho.... Timu za Simba au Yanga kudondokea huku ilikuwa ni Kuzionea timu hasa zilizokuwa zinapamba huku tokea mwanzo..!
Shirikisho hamna kitu, Ndio Yanga walidondokea huko wakawa wanawaonea vilaza akina Marumo wakajiona wanawezaaaa
 
Hapa bongo katuabisha yule mpumbavu mmoja Azam Fc, nilitamani sana kuona tukiingiza timu 4 makundi michuano ya CAF (Confederation & Champions league).
Mara hii ataona aibu...😅
 
Tulijitoa kimkakati, hayakuwa mashindano ya hadhi yetu...Ni kama Madrid iangukie Europa league, inajitoa kimkakati tu maana ni aibu kwao kucheza mashindano ya aina hiyo
Mkakati wa wapi, mliwasha hadi moto uwanjani lakini wapi.😀😀
 
Back
Top Bottom