FT: Singida Fountain Gate 2 VS 1 AS Vita Club, Agosti 2, 2023

FT: Singida Fountain Gate 2 VS 1 AS Vita Club, Agosti 2, 2023

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
SINGIDA BIG DAY

IMG_8163.jpeg
Hii Singida itashika nafasi ya pili au tatu Wana usajili mzuri sana wa wachezaji wazoefu.
 
Hawa jamaa Kwa freekick niwazur, kama warabub tu.
 
Simbaya sasa singida wanajipata na kuonyesha uwezo wao.
 
Kakolanya anapigwa kikumbo kikali, anadondoka chini na sasa madaktar wanamuinua .
 
Back
Top Bottom