FT: Singida Fountain Gate 2 VS 1 AS Vita Club, Agosti 2, 2023

FT: Singida Fountain Gate 2 VS 1 AS Vita Club, Agosti 2, 2023

Mpaka Sasa Tuka Buya na Morris Chukwu ni usajili Bora SFG
 
Vital waoneshwe kupitia Azam wajue hapakuwa na offside
 
Singida FG watawapa sana shida Simba kwenye ngao ya jamii.Hawa jamaa ni moto wa kuotea mbali!
 
Mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa kati ya Singida Fountaingate dhidi ya As Vita ya Congo unashika kasi ndani ya Uwanja wa LITI hapa Singida huku wenyeji Singida Fountaingate wakiwa mbele kwa 2 dhidi ya 1 la As Vita na Mchezo unaendelea.


Kwa Singida hii kama watapata benchi la Ufundi zuri ni dhahiri watakuwa na timu nzuri sana hapo baadaye.
.
.
.
.
.
#solomatv_updates
png_20230802_172713_0000.jpg
 
Aloo.. weka updates nimeangalia magoli huko insta dooh! Kuna huyo mwana anapiga pasi kama Xavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asiporogwa atasumbua Sana hii singida "nayo tuiangalie" Kwa sauti ya mama yenu sa100
 
Back
Top Bottom