Kwa hiyo sie kufungwa na wakimbizi pia ni sawa? Sie bwana hatujitambui tuu huo ndio ukweli.Sonamalia na south sudan teams zao za vijana ni watoto waliozaliwa ukimbizini ulayaa
Baada ya kusikia hizi taarifa utopolo wameshikwa na matumbo ya kuhara
لا شك ولا إشكال فه...نعمهذه النتائج مخيبة للآمال وتجعل المواطنين قطعوا رحلة طويلة
Kwa hiyo umeweka ili tuogope!!??Klabu ya Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan [emoji1232] imecheza mchezo wa Ligi Kuu Sudanese Premier League (SPL) kwenye uwanja wake wa nyumbani Al Hilal Stadium, dhidi ya Wad Nubawi SC, na kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao manne kwa bila 4-0.
Al Hilal Omdurman wanatarajiwa kucheza na Yanga Africans, kwenye mchezo wa marudiano wa michuano ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Jumapili ya Oktoba 16, 2022 kwenye Dimba la Al Hilal Stadium.
Je, Simba SC na Yanga SC na Azam FC wanaweza kucheza mchezo wa Ligi Kuu siku tatu kabla ya kucheza michuano ya CAF?
NB: Ligi ya Tanzania [emoji1241] ina mapumziko sana yasiyokuwa ya kawaida.View attachment 2385291
Mnachojua ni kutisha watu tu!!?Nimeweka au nimeuliza suali hapo mwisho ambalo kwa akili yako ya kinega hukuelewa..!
قد تكون من بين الملعونين
Kuna watu wakiona haya matokeo pressure zinawapanda na kuwashuka [emoji23]
Hahaaaa !!!utopolo hali c shwarKuna watu wakiona haya matokeo pressure zinawapanda na kuwashuka [emoji23]
لا شك ولا إشكال فه...نعم
Hii yaweza kuwa na zaidi kidogo Oktoba 16, 2022 hapohapo lilipotokea hili tukioKlabu ya Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan [emoji1232] imecheza mchezo wa Ligi Kuu Sudanese Premier League (SPL) kwenye uwanja wake wa nyumbani Al Hilal Stadium, dhidi ya Wad Nubawi SC, na kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao manne kwa bila 4-0.
Al Hilal Omdurman wanatarajiwa kucheza na Yanga Africans, kwenye mchezo wa marudiano wa michuano ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Jumapili ya Oktoba 16, 2022 kwenye Dimba la Al Hilal Stadium.
Je, Simba SC na Yanga SC na Azam FC wanaweza kucheza mchezo wa Ligi Kuu siku tatu kabla ya kucheza michuano ya CAF?
NB: Ligi ya Tanzania [emoji1241] ina mapumziko sana yasiyokuwa ya kawaida.View attachment 2385291
Jamaa aliweka timu b wakasindikizwa na wachezaji wawili wa first elevenKlabu ya Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan [emoji1232] imecheza mchezo wa Ligi Kuu Sudanese Premier League (SPL) kwenye uwanja wake wa nyumbani Al Hilal Stadium, dhidi ya Wad Nubawi SC, na kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao manne kwa bila 4-0.
Al Hilal Omdurman wanatarajiwa kucheza na Yanga Africans, kwenye mchezo wa marudiano wa michuano ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Jumapili ya Oktoba 16, 2022 kwenye Dimba la Al Hilal Stadium.
Je, Simba SC na Yanga SC na Azam FC wanaweza kucheza mchezo wa Ligi Kuu siku tatu kabla ya kucheza michuano ya CAF?
NB: Ligi ya Tanzania [emoji1241] ina mapumziko sana yasiyokuwa ya kawaida.View attachment 2385291
Malengo yao ni sawa na haya ya kiongozi AK.Sina uhakika, ila mawazo yangu hili halikuwa lengo lao kutuonyesha kuwa wao mbali na michuano yakimataifa basi kwao sio kikwazo tena kwenye kuendelea na ligi zao za ndani.
Hapa ilikuwa kama kutengeneza tishio kwa mechi yao ijayo ya kimataifa dhidi ya yanga kuona kuwa wako vizuri kiasi gani kwa kutumia haya matokeo.
Ila nafikiri wameshindwa maana hii sawasawa na yanga kucheza na ndanda alafu wamtishie TP mazembe hili haliwezekani.
Bila Shaka watu wanafocus tu namna gani mume atakuwa jeuri yaan anaenda kwa baba mkwe na kuamrisha ashikwe jogoo achinje mwenyewe kwa ajili ya ugeni wake.
Hakuna hujuma au fitina mpya ambayo wanaweza kufanya Hawa wasudani dhidi ya yanga ikafanikiwa.
Binafsi yanga nafikiri wamejipanga vizuri kwenye hili na imani yangu kuwa watapata na kurudi na matokeo mazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app