FT: Sudan Premier League | Al Hilal Omdurman 4-0 Wad Nubawi SC | Al Hilal Stadium 12/10/2022

Screenshot_20221013-082242_Chrome.jpg

Tazama huyu anabishana na timu kwamba hazikucheza
 
Klabu ya Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan [emoji1232] imecheza mchezo wa Ligi Kuu Sudanese Premier League (SPL) kwenye uwanja wake wa nyumbani Al Hilal Stadium, dhidi ya Wad Nubawi SC, na kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao manne kwa bila 4-0.

Al Hilal Omdurman wanatarajiwa kucheza na Yanga Africans, kwenye mchezo wa marudiano wa michuano ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Jumapili ya Oktoba 16, 2022 kwenye Dimba la Al Hilal Stadium.

Je, Simba SC na Yanga SC na Azam FC wanaweza kucheza mchezo wa Ligi Kuu siku tatu kabla ya kucheza michuano ya CAF?

NB: Ligi ya Tanzania [emoji1241] ina mapumziko sana yasiyokuwa ya kawaida.View attachment 2385291
Kwa hiyo umeweka ili tuogope!!??
That stupid
 
Mnachojua ni kutisha watu tu!!?
Kumbe umeangalia matokeo yakakutisha na si lile ambalo nimeuliza.

Okay nyie si mmeagizwa na Waziri kwenda kupindua matokeo na anayejiandaa vema ndo anapata matokeo chanya.. Sasa Hofu ya Nini..?!
 
Sina uhakika, ila mawazo yangu hili halikuwa lengo lao kutuonyesha kuwa wao mbali na michuano yakimataifa basi kwao sio kikwazo tena kwenye kuendelea na ligi zao za ndani.

Hapa ilikuwa kama kutengeneza tishio kwa mechi yao ijayo ya kimataifa dhidi ya yanga kuona kuwa wako vizuri kiasi gani kwa kutumia haya matokeo.

Ila nafikiri wameshindwa maana hii sawasawa na yanga kucheza na ndanda alafu wamtishie TP mazembe hili haliwezekani.

Bila Shaka watu wanafocus tu namna gani mume atakuwa jeuri yaan anaenda kwa baba mkwe na kuamrisha ashikwe jogoo achinje mwenyewe kwa ajili ya ugeni wake.

Hakuna hujuma au fitina mpya ambayo wanaweza kufanya Hawa wasudani dhidi ya yanga ikafanikiwa.

Binafsi yanga nafikiri wamejipanga vizuri kwenye hili na imani yangu kuwa watapata na kurudi na matokeo mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klabu ya Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan [emoji1232] imecheza mchezo wa Ligi Kuu Sudanese Premier League (SPL) kwenye uwanja wake wa nyumbani Al Hilal Stadium, dhidi ya Wad Nubawi SC, na kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao manne kwa bila 4-0.

Al Hilal Omdurman wanatarajiwa kucheza na Yanga Africans, kwenye mchezo wa marudiano wa michuano ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Jumapili ya Oktoba 16, 2022 kwenye Dimba la Al Hilal Stadium.

Je, Simba SC na Yanga SC na Azam FC wanaweza kucheza mchezo wa Ligi Kuu siku tatu kabla ya kucheza michuano ya CAF?

NB: Ligi ya Tanzania [emoji1241] ina mapumziko sana yasiyokuwa ya kawaida.View attachment 2385291
Hii yaweza kuwa na zaidi kidogo Oktoba 16, 2022 hapohapo lilipotokea hili tukio
 
Klabu ya Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan [emoji1232] imecheza mchezo wa Ligi Kuu Sudanese Premier League (SPL) kwenye uwanja wake wa nyumbani Al Hilal Stadium, dhidi ya Wad Nubawi SC, na kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao manne kwa bila 4-0.

Al Hilal Omdurman wanatarajiwa kucheza na Yanga Africans, kwenye mchezo wa marudiano wa michuano ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Jumapili ya Oktoba 16, 2022 kwenye Dimba la Al Hilal Stadium.

Je, Simba SC na Yanga SC na Azam FC wanaweza kucheza mchezo wa Ligi Kuu siku tatu kabla ya kucheza michuano ya CAF?

NB: Ligi ya Tanzania [emoji1241] ina mapumziko sana yasiyokuwa ya kawaida.View attachment 2385291
Jamaa aliweka timu b wakasindikizwa na wachezaji wawili wa first eleven
 
Sina uhakika, ila mawazo yangu hili halikuwa lengo lao kutuonyesha kuwa wao mbali na michuano yakimataifa basi kwao sio kikwazo tena kwenye kuendelea na ligi zao za ndani.

Hapa ilikuwa kama kutengeneza tishio kwa mechi yao ijayo ya kimataifa dhidi ya yanga kuona kuwa wako vizuri kiasi gani kwa kutumia haya matokeo.

Ila nafikiri wameshindwa maana hii sawasawa na yanga kucheza na ndanda alafu wamtishie TP mazembe hili haliwezekani.

Bila Shaka watu wanafocus tu namna gani mume atakuwa jeuri yaan anaenda kwa baba mkwe na kuamrisha ashikwe jogoo achinje mwenyewe kwa ajili ya ugeni wake.

Hakuna hujuma au fitina mpya ambayo wanaweza kufanya Hawa wasudani dhidi ya yanga ikafanikiwa.

Binafsi yanga nafikiri wamejipanga vizuri kwenye hili na imani yangu kuwa watapata na kurudi na matokeo mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Malengo yao ni sawa na haya ya kiongozi AK.
 
Attachments

  • Screenshot_20221014-221811_1.jpg
    Screenshot_20221014-221811_1.jpg
    166.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom