FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

Wala hii mechi haikuwa na maajabu yoyote kwa 'ubora' wenu tulitegemea hao mjipigie kuanzia tatu, tunashangaa tu imekuwaje mmeishia moja mpaka tumekuwa speechless, sasa kwa CR Belouizdad na Al Ahly itakuwaje kama hawa ndio hivi

Tulitegemea na nyie mumpige KMC 3,, au tatu nyingi, basi hata moja tu mpate alama 3.tunashangaa tu imekuwaje mmeishia kupata alama 1 mpaka tumekuwa speechless, sasa kwa ASEC na Jwaneng itakuwaje kama hawa ndio hivi
 
Baada ya kucheza na Wydad, mmepata alama 1 kwa KMC,, Yanga kapata alama 3.. Vipi unajitetea vipi hapo mtani
 
Wewe ndio una tatizo la kufikiria. Simba ilicheza na Wydad tarehe 19 huku Yanga ikicheza na Medeama Tarehe 20. Yanga imepumzika siku moja tu yaani tarehe 21 kisha tarehe 22 wamesafiri kwenda Dodoma. Jiulize wamepumzika kwa siku ngapi? Je mazoezi kujiandaa na hii mechi walifanya kwa muda gani?

Timu yako ya Simba wamepata advantage ya siku moja zaidi ya Yanga, wamepata advantage ya kutokusafiri lakini wametoa sare. Hii situation ipo sawasawa na ratiba baada ya derby ya 5-1. Simba alipata advantage ya muda na kutokusafiri lakini wakatoa sare na Namungo. Yanga walisafiri Tanga bila hata kupata muda wa kumpumzika na wakaenda kushinda ushindi mwebamba dhidi ya Coastal union.
 
Hii Simba ni maji kupwa maji kujaa.
Endeleeni kukazania nidhamu za wachezaji badala ya kukazania mbinu za ushindi wa mechi.
Wenye nidhamu wengi wanapatikana kwenye Nyumba za Ibada.
 
Ukala 5
 
Ni wa nne kwenye msimamo wa ligi, Tabora ni wa kumi na mbili na sijui hata kama alishawahi kushika hiyo nafasi au juu ya hapo, cha ajabu mkaishia kumfunga Moja tu
Wakati unakula kiganja ulikua wa ngapi kwenye ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…