FT: Tabora United 2-0 Biashara United mchezo wa mtoano mkondo wa2( Agg, 2-1) | 16/06/2024| Tabora wasalia ligi kuu kwa msimu ujao

FT: Tabora United 2-0 Biashara United mchezo wa mtoano mkondo wa2( Agg, 2-1) | 16/06/2024| Tabora wasalia ligi kuu kwa msimu ujao

Asanteni Tabora kwa kufanikiwa kubakia kubaki ligi kuu.msajiri sasa chizachiza. Mwakondya, mwakola,mwabheja sana ,elokamano,mlakoze sanq.
 
Timu mbovu imebaki ligi kuu kwa kufanya hujuma. Hakuna maana ya playoffs.
 
Biashara wanacheza vizuri, naona kabisa wakishinda ndani ya dk 90. Penati uzembe wa beki. Kimchezo inaonesha Tabora walistahili kushuka daraja kabisa.
Ni timu mbovu na zaidi ni timu ya wavuta bangi, timu ya wahalifu.
 
Back
Top Bottom