Tanzania oneWanaficha lineup kama Bangi. Ila walioitwa nahisi Air Manula atakua.
Tv ipi itaonesha huu mtanange?
Vijana wetu wa Taifa Stars leo wanakutana na Bulgaria katika mechi ya kirafiki, uko Baku, Azerbaijan katika kiwanja cha Dalga Arena mida ya saa 10 jioni, masaa ya Africa Mashariki.
Ni matumaini yangu Azam watatubariki na hii mechi tuone kama vijana wetu wame improve tokea wacheze AFCON.
Karibuni tupeane updates.
Naungana na wewe asilimia mia hiyo odd inatoa. Isipotoa usiulizwe wewe bali niulizwe mimi.... Iko hivi Bulgaria 2 Tanzania 0 FT.Chukkua Odd hii 🤒🤒
Tanzania 0 - 2 Bulgaria