FT: Tanzania 0-1 Bulgaria | Friendlies| 22 March 2024 16:00 Hours | Dalga Arena (Baku, Azerbaijan)

FT: Tanzania 0-1 Bulgaria | Friendlies| 22 March 2024 16:00 Hours | Dalga Arena (Baku, Azerbaijan)

Mchezaji wetu Novacatus kaumia, sasa sijui atarudi uwanjani au ?
 
Imepigwa faulo imegonga besera la juu chuma ndani..
 
Ingekua moya moya
Umuhimu wa kutake chances zikitokea kiumakini ndo unakuja hapa😐
 
Naodha wa Bulgaria anaecheza team moja na Samatta bwana mdogo Despodov (11) ndio kaweka chuma
 
Back
Top Bottom