ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Silipendiiii😪Nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silipendiiii😪Nini mkuu?
Madako yakeTumegongesha mwamba ikamrudia Feisal.. Kapiga Mnazi mmoja ova Rugby
Chezaji la OKW BOBAN SUNZU hiloNamba 9
Tutafute hata daraja la 9 ambaye ni mbongo nchi za nje kuliko huu utopolo ulioko😂
Kapaisha tena
AahaaaaSitaki ukorofii!
Angalia avatar mkuu picha yanguUto utawajua kwa comment zao za kichawi
Huyu 👆👆 Mayo mbona ni Mzee 😂😂 Sana
Leo nadhani wamejirekebisha kidogo. Ngoja tuone.Vipi taifa stars bado wanapiga back pass kama kawaida yao?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mkuu naomba utoe updates mimi Nimeamia Kuangalia Mieleka.Leo nadhani wamejirekebisha kidogo. Ngoja tuone.
Nani wa kuwakamata mkuu?Hakuna wa Bulgaria waliovaa jezi za taifa stars wakamatwe hapo?