FT Tanzania 0-1 Zambia | FIFA World Cup Qualification | New Amani Stadium | 08.10.2025 | Saa 22:00 Usiku

FT Tanzania 0-1 Zambia | FIFA World Cup Qualification | New Amani Stadium | 08.10.2025 | Saa 22:00 Usiku

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608



Kikosi cha Taifa Stars kinachoanza dhidi ya Zambia
​
7’ Tanzania 0 vs 0 Zambia

FIFA Calendar updates …!
 
K***** na sirikali ya tz ....such a disgrace mnaua vya kwenu wenyewe kisa upuuzi wenu
 
Tunajichezea chezea tu. Sijui Taifa stars inalaana gani hii timu.
 
Tatizo la kuokoteza makocha kutoka uswekeni. Hatuna kocha Wala benchi la ufundi Bali waganga njaa tu.
 
Back
Top Bottom