Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Hivi unaangalia mechi au ?Refa ana kamwili flani hivi kazuri 😘
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unaangalia mechi au ?Refa ana kamwili flani hivi kazuri 😘
Huyu kashapagawa [emoji16]Hivi unaangalia mechi au ?
1-1Ngapi ngapi huko?
Namuona kama kashika sabuni kando ya screen macho yote kwa refarii 😂Kwani wewe unamwonaje?
Kwakuwa sisi hatuna mwiko nyuma, inakuwa ngumu sana kuchomekwaSimba mlichomekwa naona mmechomoa
Huyu jamaa atoke tuBocco kakosa hapA
Huyu ameshaisha.Bocco kakosa hapA
Amejipambanua mwenyewe huyo ni member wa CHAPUTA 😂Au unamfahamu kwa karibu?
La pili hili hapoPunguza sigara kubwa, hilo la pili mumelipata muda gani.