Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Hivi unaangalia mechi au ?Refa ana kamwili flani hivi kazuri π
Huyu kashapagawa [emoji16]Hivi unaangalia mechi au ?
1-1Ngapi ngapi huko?
Namuona kama kashika sabuni kando ya screen macho yote kwa refarii πKwani wewe unamwonaje?
Kwakuwa sisi hatuna mwiko nyuma, inakuwa ngumu sana kuchomekwaSimba mlichomekwa naona mmechomoa
Huyu jamaa atoke tuBocco kakosa hapA
Huyu ameshaisha.Bocco kakosa hapA
Amejipambanua mwenyewe huyo ni member wa CHAPUTA πAu unamfahamu kwa karibu?
La pili hili hapoPunguza sigara kubwa, hilo la pili mumelipata muda gani.