Walaaa....Eewaaaaa. [emoji23][emoji23]
#Golilimekurudisha.
Boko tena ?Kumekucha tena,
Kivumbi leo. Uwanja wa Sokoine Mbeya.
Simba ya Dar es Salaam itaumana na Tanzania Prison ya Mbeya.
Muda ni Saa 10 Jioni kwa Saa za Afrika Mashariki.
View attachment 2772703
Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Tanzania Prisons, Oktoba 5, 2023
Updates.
Tanzania Prison Wanaongoza kwa Goli 1
AahaaaaaPunguza sigara kubwa, hilo la pili mumelipata muda gani.
Haaa haaa imeisha iyonini mbona kama kuna kelele
BoccoliNanii
Ametoa gunduHuyu ameshaisha.
Mweka Hazina wa SimbaNanii