FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

Che Malone ni mtu ambaye yupo serious na kazi yake.

Hata inapotokea kafanya mistake ni rahisi kusema bahati mbaya kwasababu struggling tunaziona.

Wachezaji wote wakiwa na moyo huo kama Che Malone ingefanya timu kuwa hatari zaidi.
 
Timu yetu ya simba lazima ijifunze kuwa na mpira ambao ni constant
 
Back
Top Bottom