Boko atoke sec half mapemaaMnavyowachanganya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boko atoke sec half mapemaaMnavyowachanganya watu
Watu wa Yanga bhana[emoji1787]Hii mbeleko kwa timu yangu inatia aibu, offside ya wazi
Tunaofuatilia humu dakika ya 42 tunaambiwa Boko atoke tu, dakika ya 44 tunaambia Gooooal, BokooooTunawachanganyaje mkuu
Wakati ni tawi laoWasijekusema kuwa Singida ni tawi letu
Au tulifuteTunaofuatilia humu dakika ya 42 tunaambiwa Boko atoke tu, dakika ya 44 tunaambia Gooooal, Bokoooo
Hivi lile goli la future dhidi ya singida lilikuwa offside?Hii mbeleko kwa timu yangu inatia aibu, offside ya wazi
AahaaaaWanangu wa over 2.5 tukutane kwa wakala
Simba raha sana 😊
Wapo wengiKuna watu mmenuna najua
UlaaniweMods mnaonaje heading ibaki 1-0 ili Utopolo wafurahi na ubwege wao?
Nikweli bado kidogo tu mseme hapo bado hamjasemabado hamjasema
SawaHuyu ameshaisha.
Wew sio yanga yanga hatuna shabiki kiazi kama wewYanga tusisingizie off side tumepoteza point 3 kizembe tuache ndugu zetu wavune tatu zao.
Laana sio nzuriUlaaniwe