Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeliona mdogo wangu.Walaaa....
Umeona hilo la Pili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipindi cha pili hamtoboiUtaratibu ni uleule hakuna kufurahi
Watakuwa Mashabiki wa Prison haoKuna watu mmenuna najua
Mkuu wameshasema hao vyura cf mwiko nyuma?Hapana ni la Bocco
Huyo offside hata kwenye kikosi B hayupo
Acha ibaki kama kumbukumbu, huenda alisikia malalamiko ya mashabikiAu tulifute
Umeongelea dakika imaanisha haziko stable Zina badilika kila mudaTunaofuatilia humu dakika ya 42 tunaambiwa Boko atoke tu, dakika ya 44 tunaambia Gooooal, Bokoooo
Na mpira sio mchezo wa kutoboana na ndio maana wachezaji hawaingii na bikali uwanjaniKipindi cha pili hamtoboi
Mgoja nione wachambuziMakosa ya kibinadamu.
Pamoja na UtopoloWatakuwa Mashabiki wa Prison hao
Yamekuwa hayo tenaPrisons & Utopolo 1-2 Simba
KumbePamoja na Utopolo
Wewe ndio sio Yanga kwani wewe ni timu ya Kwanza kufungwa umekuwa defeated kubali jipange huwezi kutafutia balance ya defeat yako kwenye mechi ya leo.Wew sio yanga yanga hatuna shabiki kiazi kama wew
HahahahahNa mpira sio mchezo wa kutoboana na ndio wachezaji hawaingii na bikali uwanjani
🤣🤣🤣 bado hamjasemaYamekuwa hayo tena