Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Wajae kwa wingi ? 😂😂Mods mnaonaje heading ibaki 1-0 ili Utopolo wafurahi na ubwege wao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajae kwa wingi ? 😂😂Mods mnaonaje heading ibaki 1-0 ili Utopolo wafurahi na ubwege wao?
Aaahaaaaa🤣🤣🤣 bado hamjasema
Safi mwanangu, kazi na pesa
Kwakweli [emoji3][emoji3][emoji3]Mtani leo atuchekani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Twende kaziSafi mwanangu, kazi na pesa
Nendeni mahakamaniMagoli ya offside
Wapumzishe basi , wasije kufa kwa kihoroIla hisia za mpira ni za ajabu sana,Prisons walipofunga wale wenzetu wakapata matumaini kwamba "Yesss" .ndani ya half time wanapata huzuni tena.
Ndio au unatakajeHawa ndio wakwenda nao Super League? Hii timu ilitakiwa kujitoa
Hahahaaa, zawadi nyingine tena inakuja usijaliNimeliona mdogo wangu.
Zawadi kutoka kwa mshika kibendera. Teh teh.
Nyie hata la offside mlifunga?Nimeliona mdogo wangu.
Zawadi kutoka kwa mshika kibendera. Teh teh.
Mkuu ngoja tuone ila hadi msemeYamekuwa hayo tena