Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Kamtoa na goli likaingiaAshamtoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamtoa na goli likaingiaAshamtoa
Nabadili maamuzi mtaniHii mechi ni draw mkuu endelea kukomaa
Usimdiss Bocco wakati kwenye matatu kuna moja lakeYaani bocco katoka na bao limepatikana[emoji1787][emoji1787]
Labda anampango wake na waliopo benchiSasa si ndio angewapumzisha hawa waingie wengine
Wee jamaa umepost kabla ya goli haaaaa haaaaa
Sijamdis ila ombi la sub yake limetoka kwakoUsimdiss Bocco wakati kwenye matatu kuna moja lake
😭😭😭😭😭😭😭Haya muwahi lindo, mpira tuachieni sisiView attachment 2772859
KabisaKweli kuna utofauti kati ya wananchi na wenyenchi 😁
Simba Sc ingekuwa nyuma, mpaka sasa huu uzi ungekuwa na comments 900+
Kwani wewe ndiye unayeamua?Nabadili maamuzi mtani
Kabisa kazinguaHuyu Onana hata akisugulishwa benchi kama hivyo sioni cha kulalamikia, ubishoo mwingi sana. Acha akalie mbao.
Mechi imeisha kakaSimba wanaanza masihara