Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Shida ya simba kule mwisho kila.mtu anataka kuimbwa qummkeNi kama simba fowardline ikifika ndani ya 18. Hawana plan ya kugongeana....
AURA anapiga, Mwalimu anapiga,, Gueyye anapiga ...
Kwani nn hilo halioni kila mechi...
Nahisi ulichoandika kinaenda kuwa kweli, anyway bora draw kuliko kufungwa.Kama half time simba hana goli basi ndo imeisha hivo.
Simba hajawahi kupata goli second half
Hapa ni draw tu.