Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwatukana tanesco ni kosa la jinai, be careful mkuu 😂 😂Tanescooooooooooooooooooo [emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]
What the fuckkkkkkkkkkk
Mkuu dilisha dogo huwezi kupata top player km alivyokuwa Mayele, Guede kasajiliwa kuongeza machaguo ya washambuliaji baada ya waliopo kutokidhi matarajio, Anyway kwa upande wangu bado sijaona kitachomfelisha Guede labda mfumo wa Yanga ndio unaweza kumfelishaTatizo ni moja yeye ndo amekuja kama mbadala wa Mayele baada ya Konkoni kuchemka so watu hawana huo muda wa kumskilizia...
Huku watu wanataka matokeo basi...
Asante Kwa kunikumbusha ila wanatia hasira Kwa wazalendo [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Kuwatukana tanesco ni kosa la jinai, be careful mkuu [emoji23] [emoji23]
Halafu Prison ndio huwa wanategemea kupata magoli kupitia mipira iliyokufaHizi faulo faulo hizi
"Dirisha Dogo Huwezi Pata Top Player" nadhani hii inatosha kumuelezea Guede ndo maana wengi hatuna matumaini nayeMkuu dilisha dogo huwezi kupata top player km alivyokuwa Mayele, Guede kasajiliwa kuongeza machaguo ya washambuliaji baada ya waliopo kutokidhi matarajio, Anyway kwa upande wangu bado sijaona kitachomfelisha Guede labda mfumo wa Yanga ndio unaweza kumfelisha
Wanasimba mnalalamika sanarefa awe makini kidogo.
So hutatukana tena in public ama utakuwa unatukana kisirisiri?Asante Kwa kunikumbusha
Safari wanalaumu makocha [emoji2957]Wanasimba mnalalamika sana
Hahahhahahhhahahha dah mi ntawatukana Tu maana wamezidi hawa mbwaSo hutatukana tena in public ama utakuwa unatukana kisirisiri?
Naunga mkono msimamo wako tutawatukana kabisa nyau hao kasoro mkia 😁Hahahhahahhhahahha dah mi ntawatukana