FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Tatizo ni moja yeye ndo amekuja kama mbadala wa Mayele baada ya Konkoni kuchemka so watu hawana huo muda wa kumskilizia...
Huku watu wanataka matokeo basi...
Mkuu dilisha dogo huwezi kupata top player km alivyokuwa Mayele, Guede kasajiliwa kuongeza machaguo ya washambuliaji baada ya waliopo kutokidhi matarajio, Anyway kwa upande wangu bado sijaona kitachomfelisha Guede labda mfumo wa Yanga ndio unaweza kumfelisha
 
"Dirisha Dogo Huwezi Pata Top Player" nadhani hii inatosha kumuelezea Guede ndo maana wengi hatuna matumaini naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…