FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

HAKIKA Maxi Nzengeli Wakamuangalie

KAROOGWAAAA SIO BUREE
 
Walau Leo rhythm ya Yanga imeanza kurudi nadhani n kwakua Tanzania Prisons wameamua kucheza mpira na sio kujilaza laza kama Kagera na Dodoma Jiji
Wewe si uliandika uzi wako kuwa Yanga hawana ubora kama inavyosifiwa nikakwambia tatizo la Yanga ni kukosa game fitness tu sababu wachezaji walikuwa na mapumziko ya muda mrefu. Wachezaji wameanza kurejea katika utimamu wao karibia minara itaanza kusimamishwa.
 
Walau Leo rhythm ya Yanga imeanza kurudi nadhani n kwakua Tanzania Prisons wameamua kucheza mpira na sio kujilaza laza kama Kagera na Dodoma Jiji
Tungekuwa na Tatu time hii 😊
 
Wewe unamkubali sana, mimi akawa ananikera vile hayuko serious.
Ila nini, Sisi ni Wananchi [emoji1422]
Kabisa mwananchi mwenzangu lengo NI kupata wachezaji watakao tupa matokeo tena bahati nzuri Mzize mwenye bado n under 20 Tutamfaidi Sana [emoji2957][emoji1787]
 
Inawezekana Uzi wangu uliwaongezea ari Leo wanatupa burudani tunayostahili [emoji120]
 
HAKIKA Maxi Nzengeli Wakamuangalie

KAROOGWAAAA SIO BUREE
Ile ni ngumu kufunga, alishahesabu wa mbele yake ameshafunga na yeye tayari alishajaa upande mwingine akijiandaa kushangilia goli.
Ukiangalia vizuri ule mpira hajamkuta alipokuwa bali ameurudia baada ya kuona umempita aliyemtarajia kuwa amefunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…