mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Ameoteaje hapo? Pacome anatokea mbali kabisaa anakimbia paka anampita beki wa prison, Hata hivyo we ni mbumbumbu kwaio rage apewe heshima yakealikuwa ameotea bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameoteaje hapo? Pacome anatokea mbali kabisaa anakimbia paka anampita beki wa prison, Hata hivyo we ni mbumbumbu kwaio rage apewe heshima yakealikuwa ameotea bana
Ni kweli kabisa mashabiki wa Simba hawakawii kumpiga mitamaArajiga awe makini kidogo
HTDk ya ngapi wazalendo mliokaribu na TV?
Wewe unamkubali sana, mimi akawa ananikera vile hayuko serious.Nadhani [emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia vizuri wakati Fundi Yao Yao anapiga mpira Pacome alikua wapiPacome alikuwa kwenye eneo la kuotea.
Arajiga awe makini kidogo
I hope sasa umemuonaHuyo Farid mbona kwenye kikosi hayupo?
Wewe si uliandika uzi wako kuwa Yanga hawana ubora kama inavyosifiwa nikakwambia tatizo la Yanga ni kukosa game fitness tu sababu wachezaji walikuwa na mapumziko ya muda mrefu. Wachezaji wameanza kurejea katika utimamu wao karibia minara itaanza kusimamishwa.Walau Leo rhythm ya Yanga imeanza kurudi nadhani n kwakua Tanzania Prisons wameamua kucheza mpira na sio kujilaza laza kama Kagera na Dodoma Jiji
Thank you VAR....No offside you bush lawyerclear Offside!!
Kabisa mwananchi mwenzangu lengo NI kupata wachezaji watakao tupa matokeo tena bahati nzuri Mzize mwenye bado n under 20 Tutamfaidi Sana [emoji2957][emoji1787]Wewe unamkubali sana, mimi akawa ananikera vile hayuko serious.
Ila nini, Sisi ni Wananchi [emoji1422]
Mkuu hawa watu ndio maana rage aliwaita mbumbumbuAngalia vizuri wakati Fundi Yao Yao anapiga mpira Pacome alikua wapi
Inawezekana Uzi wangu uliwaongezea ari Leo wanatupa burudani tunayostahili [emoji120]Wewe si uliandika uzi wako kuwa Yanga hawana ubora kama inavyosifiwa nikakwambia tatizo la Yanga ni kukosa game fitness tu sababu wachezaji walikuwa na mapumziko ya muda mrefu. Wachezaji wameanza kurejea katika utimamu wao karibia minara itaanza kusimamishwa.
Nashukuru kwa taharifa
HakikaMkuu hawa watu ndio maana rage aliwaita mbumbumbu
Ile ni ngumu kufunga, alishahesabu wa mbele yake ameshafunga na yeye tayari alishajaa upande mwingine akijiandaa kushangilia goli.HAKIKA Maxi Nzengeli Wakamuangalie
KAROOGWAAAA SIO BUREE
Sawa, tunalitoa hilo. Tufanye bado 1 kwa 0. Au na hilo tulitoe tumuambie kamisaa tutaanza second half tukiwa hatuna goli? Au tugeuze ubao, tuwape hayo mawili prison, sisi tuwe bila?alikuwa ameotea bana