Mwenyewe/Thank you VAR....No offside you bush lawyer
Mkuu kuna namna sisi wana Yanga tunaikosea timu yetu, kusifia tu kunawafanya wachezaji wetu wabweteke, kuna wakati inabidi tuwakosoe ili kuwatia hasira zaidi ya kupambana. Kwaio jamaa hakufanya jambo baya kuwaponda lengo lake nadhani lilikuwa jemaWewe si uliandika uzi wako kuwa Yanga hawana ubora kama inavyosifiwa nikakwambia tatizo la Yanga ni kukosa game fitness tu sababu wachezaji walikuwa na mapumziko ya muda mrefu. Wachezaji wameanza kurejea katika utimamu wao karibia minara itaanza kusimamishwa.
Kwenye 1st eleven wameonyesha angeanzia benchi.I hope sasa umemuona
Achana nalo kolo hilo
Hahahhahahaha wangekuja kama mambo yangekua magumu ila Kwa Hali ilivo wasubiri tarehe 15
Mkuu nimekutoa kwenye kundi la mbumbumbu alilosema ndugu Aden RageYanga hawakamatiki tuache utani.
Simba tujiandae msimu ujao.
Hadi Fredi Michael azoee Hali ya hewa kwanza.
kesho tunacheza na Geita GoldHahahhahahaha wangekuja kama mambo yangekua magumu ila Kwa Hali ilivo wasubiri tarehe 15
Kumbe kesho kuna game nilikua sijui.. lolote Baya liwakute naamini Geita Gold watashindakesho tunacheza na Geita Gold
Kabisa mwingine angekimbizwa taasisi ya mifupa MOIYao sio mlaini aisee