FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Wewe si uliandika uzi wako kuwa Yanga hawana ubora kama inavyosifiwa nikakwambia tatizo la Yanga ni kukosa game fitness tu sababu wachezaji walikuwa na mapumziko ya muda mrefu. Wachezaji wameanza kurejea katika utimamu wao karibia minara itaanza kusimamishwa.
Mkuu kuna namna sisi wana Yanga tunaikosea timu yetu, kusifia tu kunawafanya wachezaji wetu wabweteke, kuna wakati inabidi tuwakosoe ili kuwatia hasira zaidi ya kupambana. Kwaio jamaa hakufanya jambo baya kuwaponda lengo lake nadhani lilikuwa jema
 
Back
Top Bottom