OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ni jioni ya leo saa 10:15 pale KMC Complex. Ubaya Ubwela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi lazima kwa mnyamaView attachment 3073303
Ni jioni ya leo saa 10:15 pale KMC Complex. Ubaya Ubwela
Kama kawaida mnaanza na Tabora iliyochoka kabla ya kuanza na mukwala asipofunga Simba impe thank youSimba Bingwaaaaa🛑🛑🛑
Mno mkuuTunaenda kutoa Onyo na kalipio kali kwa timu zote zinazoshiriki ligi ya NBC kwa kushusha kipigo kikali na kizito.
AmenLolote liwakute
Singida squad nzima ni wageni isipokiwa kipa. Tulipofikia panafikirisha sanaNaangalia hapa mechi ya KEN GOLD SPORT vs SINGIDA BIG STARS
yaan TIMU ZOTE HAZINA UWEZO WA KUPIGA PASI 5 MFULULIZO
YAAN butua butua nyingi sanaa yaan kwa mtindo huu TIMU ZA KUTOA UPINZANI NA CHANGAMOTO HAZIFIKI 6 KWAKWELI
Japo SINGIDA wanaongoza kwa goli mbili kwa moja ken Gold Ila wachezaji wazito timu zote mbiliSingida squad nzima ni wageni isipokiwa kipa. Tulipofikia panafikirisha sana
Mechi nyepesi hii tuliaHivi huyu kocha wa simba huwa anapangiwa kikosi au ni jeuli tu, hivi inakuwaje kocha kila siku anawakumbatia kina mzamiru na kapombe licha ya kuwa wameonyesha uwezo mdogo na kuwaacha wachezaji wazuri kwenye benchi kama okejepha, kagoma na kijili
Hiki kitu hata mimi kimenishangaza sana. Kinasikitisha piaHivi huyu kocha wa simba huwa anapangiwa kikosi au ni jeuli tu, hivi inakuwaje kocha kila siku anawakumbatia kina mzamiru na kapombe licha ya kuwa wameonyesha uwezo mdogo na kuwaacha wachezaji wazuri kwenye benchi kama okejepha, kagoma na kijili