FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

Naangalia hapa mechi ya KEN GOLD SPORT vs SINGIDA BIG STARS

yaan TIMU ZOTE HAZINA UWEZO WA KUPIGA PASI 5 MFULULIZO

YAAN butua butua nyingi sanaa yaan kwa mtindo huu TIMU ZA KUTOA UPINZANI NA CHANGAMOTO HAZIFIKI 6 KWAKWELI
Ken Gold imecheza ki championship zaidi yani haina mipango wachezaji wamekosa muunganiko kabisa

Singida wamepata cha kuongelea
 
Odds sport pesa tabora wapo na 15 simba 1.12 walai ukiweka buku mbili tu kwa tabora unakunywa bia za kutosha.
Muhindi anaitaka hiyo buku mbili yako

Ni simple maths tu, weka upige jackpot kama unahisi Muhindi katoka umbali mrefu kuja Bongo kufanya kazi ya kanisa.
 
Back
Top Bottom