Mbona yupo kwenye line upNilitarajia kumuona fernandez akianza
Shukran mkuu nimeangalia lineup chap nikaisha hapo kwa mzamiru nikaona nyo yale yaleMbona yupo kwenye line up
Beki wa kati Abdulrazack HamzaHuyu hamza ndo nani
Nimeweka ubaya ubwelaMuhindi anaitaka hiyo buku mbili yako
Ni simple maths tu, weka upige jackpot kama unahisi Muhindi katoka umbali mrefu kuja Bongo kufanya kazi ya kanisa.
Unaanza na robo ndio ratiba toka mwanzoDalili zinaonyesha hakuna mechi hapa
Tumefuta michezo shuleni na kuongeza mda wa kukaa darasani acha tuvune matundaSingida squad nzima ni wageni isipokiwa kipa. Tulipofikia panafikirisha sana
....na iwe hivyoLolote liwakute
CookieView attachment 3073303
View attachment 3073410
Ni jioni ya leo saa 10:15 pale KMC Complex. Ubaya Ubwela
Wachawi na waloziTabora Utd kila la kheri, wapinzani wenu, lolote liwakute. 😎