FT: UCL Mechi za Robo Fainali | Arsenal 2-2 Bayern Munich, Real Madrid 3-3 Man City | 09/04/2024

FT: UCL Mechi za Robo Fainali | Arsenal 2-2 Bayern Munich, Real Madrid 3-3 Man City | 09/04/2024

Kwa mpira ule wa kuvizia wa Madrid inahitaji pasi za maana Ili kufika kwenye boksi, mbali na hapo watachezea za kutosha Kwa man city...njia pekee ya kumfunga city ni jino Kwa jino kama wafanyavyo Liverpool ya klopp.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtasema yote mbona.
 
Jude ni muwa kabisa, Sifa kibao ila uwanjani ni zero. Modric anahitajika kuanza mechi ijayo.
 
Wee c ulisema Man city anatolewa UCL pale pale Bernabeu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Karibuni Etihad, mnajua nini huwa tunafanya pale machinjioni.
Niliowatabiria wote wamepita

Na niliowatabiria kuwa watatolewa, wote wametolewa

Una lipi la kusema??
 
Back
Top Bottom