Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
KwaniniLolote litakalotokea sitashangaa
Match of the day
Spain vs cape verde
Kama cape verde ka draw na spain, basi Senegal anaweza aka mshika shati france au ikibidi kumfunga kabisaKwanini
Cisse,Camara,Papa Bouba Diop ,Al Haj Diof na kocha Bruno MetsuSisi wahenga Hii mechi inatukumbusha kipira kilichopigwa katika jiji la SEOUL South Korea, siku ya Ijumaa may 31 2002.
Kwa ukanda wetu ilikuwa mapema asubuhi, wakati Senegal wameishangaza Dunia dhidi ya bingwa mtetezi Ufaransa akiwa na kikosi chake hatari kabisa.
Majina yasiyojulikana yalisimama dhidi ya nchi yao na bara zima la Afrika.
Bado tunawakumbuka baadhi yao.
Papa Bouba Diop 'rip'
Khailou Fadika
Al Haj Diof
Souleman Camara
Ferdinand Koly
Habib Beye na wengine
Kipimo cha Verde na Spain ni tofauti kabisa na hiki. Kocha wa spain ni mpuuzi tu yule.Kama cape verde ka draw na spain, basi Senegal anaweza aka mshika shati france au ikibidi kumfunga kabisa
Pia kongole ziende kwa kipa wa verde bila zile save za maana spain wangeondoka na ushindi jana, spain walipiga mpira mwingi basi tu haikuwa siku yaoKipimo cha Verde na Spain ni tofauti kabisa na hiki. Kocha wa spain ni mpuuzi tu yule.
Verde sio wabaya ila ukiwaweka kwenye mizani, Spain ipo mbali. Kile kikosi kilivyotoka cha Spain nikawa naiona kabisa draw hii hapa.Pia kongole ziende kwa kipa wa verde bila zile save za maana spain wangeondoka na ushindi jana, spain walipiga mpira mwingi basi tu haikuwa siku yao
Umenikumbusha mbali sana,Sisi wahenga Hii mechi inatukumbusha kipira kilichopigwa katika jiji la SEOUL South Korea, siku ya Ijumaa may 31 2002.
Kwa ukanda wetu ilikuwa mapema asubuhi, wakati Senegal wameishangaza Dunia dhidi ya bingwa mtetezi Ufaransa akiwa na kikosi chake hatari kabisa.
Majina yasiyojulikana yalisimama dhidi ya nchi yao na bara zima la Afrika.
Bado tunawakumbuka baadhi yao.
Papa Bouba Diop 'rip'
Khailou Fadika
Al Haj Diof
Souleman Camara
Ferdinand Koly
Habib Beye na wengine