BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
Mimi na wewe wote hatukuwepo wakati wanaongea hayo kamanda. Sema wengi bendera fuata upepo, wenye chuki, wivu na wabaguzi ndio wanasubirigi kama hayo waanze kuyaeneza. Huo sio uanaume.Kwahiyo kauli ya wachezaji wa moroko kuwa hawaiwakilishi africa kwenye kumbe la dunia lililopita ulikuwa uongo?
Pia waarabu hawakuanza leo kuchukiwa, ni kitambo sana, Hivyo sioni ajabu waarabu wakizushiwa uongo.