BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
Mimi na wewe wote hatukuwepo wakati wanaongea hayo kamanda. Sema wengi bendera fuata upepo, wenye chuki, wivu na wabaguzi ndio wanasubirigi kama hayo waanze kuyaeneza. Huo sio uanaume.Kwahiyo kauli ya wachezaji wa moroko kuwa hawaiwakilishi africa kwenye kumbe la dunia lililopita ulikuwa uongo?
Unasema haukuwepo halafu unasema wamezushiwa uongo aisee kweli akili ni nyweleMimi na wewe wote hatukuwepo wakati wanaongea hayo kamanda. Sema wengi bendera fuata upepo, wenye chuki, wivu na wabaguzi ndio wanasubirigi kama hayo waanze kuyaeneza. Huo sio uanaume.
Pia waarabu hawakuanza leo kuchukiwa, ni kitambo sana, Hivyo sioni ajabu waarabu wakizushiwa uongo.
Kuna clip yoyote umeona wakiongea huo ujinga?Unasema haukuwepo halafu unasema wamezushiwa uongo aisee kweli akili ni nywele
ndioKuna clip yoyote umeona wakiongea huo ujinga?
Weka hapa tuonendio
uone wew na naniWeka hapa tuone
Wote tulioaminishwa uongouone wew na nani
Nani aliaminisha?Wote tulioaminishwa uongo
Nani aliaminisha?
Mtandao ganiIngia mitandaoni au vigengeni
Senegal anafika MWAKA-ROBO.Senego anafika robo, lile soka ni safi ila alikutana na kingine